KAMATI YA BUNGE YA AFYA YAFANYA MATENDO YA HURUMA DODOMA-RRH
Автор: DODOMA REFERRAL HOSPITAL
Загружено: 2026-01-27
Просмотров: 36
Описание:
JANUARI 27, 2026
Ikiwa ni Kumbukizi ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe; Dkt. Samia Suluhu Hassan . Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Afya akiambatana na Wajumbe wa Kamati hiyo wamefika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma kwa ajili ya kufanya matendo ya Huruma kwa kupanda miti ndani ya Hospitali na kuwaona watoto waliozaliwa siku moja na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia mahitaji mbalimbali watoto hao.
Pia, Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma Dkt. Sarah Ludovick Ameishukuru kamati hiyo kwa Matendo ya huruma waliyoyafanya ndani ya hospitali hiyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: