WAZIRI MKUU Mhe KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024
Автор: PDK Generation
Загружено: 2024-12-05
Просмотров: 318
Описание:
WAZIRI MKUU Mhe KASSIM MAJALIWA MAJALIWA AKIFUNGUA MKUTANO WA WAFAMASIA DODOMA 2024
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Mjaliwa Majaliwa (Mb). amezungumza na Wafamasia katika mkutano mkuu wa chama chao - The Pharmaceutical Society of Tanzania (PST) unaoendelea Jijini Dodoma.
Mhe. Waziri mkuu ambae ni mgeni rasmi katika mkutano huo amewapongeza wafamasia kwa mchango wao katika sekta ya afya na kuwasihi waendelee kushirikiana na serikali kutatua changamoto zinazowakabili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: