ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WAKULIMA NA WAFUGAJI WAUWANA- WALIOUA WASAKWA

Автор: KUSINI YETU ONLINETV

Загружено: 2023-09-28

Просмотров: 329

Описание: Mkuu wa wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi Mhe. Mohammed Moyo amewataka watu wote waliohusika katika kupanga na kutekeleza tukio la mauaji ya wafugaji wawili na mkulima mmoja kujitokeza na kujisalimisha katika vyombo vya ulinzi na usalama kabla ya kufanyika kwa msako mkali wa kuwabaini watu hao na kuwachukulia sheria.

Moyo amesema hayo wakati anazungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Tinginya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, uliowakutanisha wakuu wa wilaya ya wilaya hizo mbili.

Moyo amesema wafugaji walio uwawa ni kutoka katika kijiji cha Matekwe wilayani Nachingwea na  wanakijiji wa Tinginya wilaya ya  Tunduru ndiyo wanaotuhumiwa kwa kutekeleza mauaji hayo kwa sababu tukio hilo limetokea baada ya mkulima mmoja kuuwawa na wafugaji kwa kuchomwa na mshale ubavuni.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WAKULIMA NA WAFUGAJI WAUWANA- WALIOUA WASAKWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Wafugaji walioondolewa Ihefu na kuhamia Lindi watakiwa kuondoa mifugo yao.

WANANCHI WALIOANDAMANA DAR DC ATOA TAMKO

WANANCHI WALIOANDAMANA DAR DC ATOA TAMKO "MWAKILISHI WA RAIS ANAKESI NA SISI TUSIPEPESE MACHO HAPA"

«Руто, мы идём за тобой! Ты пожалеешь, что захватил земли народа луо!»

TAZAMA VITA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ULANGA MOROGORO, KISA MAKUNDI YA NG'OMBE KUHARIBU MAZAO

#TAZAMA| 15 WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MAUAJI TUNDURU, KAMANDA PASUA AELEZA

WAKULIMA NA WAFUGAJI WAKATANA MAPANGA MORO, MMOJA AFARIKI, NYUMBA 17 ZACHOMWA MOTO

Viongozi wa kijiji wilayani Tunduru kikaangoni tuhuma za ubadhirifu

Tazama Wilaya ya Tunduru ilivyo pangika Muonekano wake wa Juu wa Eneo la Mjini,Mkoani Ruvuma

TAZAMA WAANDAMANAJI WAKIKAMATWA NA JESHI POLISI, MAONESHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI

Что сказал Джума Локоле на свадьбе Тарика и Джиджи Мани

MADA: FURSA ZA UWEKEZAJI, CPA. EMILIAN BUSARA. APRIL 7, 2025. UDSM CCT CHAPLAINCY.

AAMUA KUTEMA NYONGO MBELE YA WAZIRI MKUU LIWALO NA LIWE NINAKUFA NJAA GARI YANGU IKO POLISI

LIVE: KUTOKEA KISARAWE DC JOKATE AKIIZUNGUMZIA USHOROBA KISARAWE FESTIVAL

Fahamu Fursa za Biashara zipatikanazo wilayani Tunduru

Иран объявил войну Украине / Официальное заявление

TAZAMA KOMANDO HUYU ALIVYO MUOGOPESHA RAIS SAMIA/ATOKEA NA MAVAZI YA KUTISHA/MIAKA 60 YA JWTZ

AMKA NA BBC KISWAHILI HABARI UKUBWA LEO IJUMAA.

Nandy Atembelea Kiwanda Cha Grace Product Chenye Kutengeneza Bidhaa Za Nandy Product.

DC MWAIPAYA AHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA, KUGOMBEA NA KUPIGA KURA

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]