Viongozi wa kijiji wilayani Tunduru kikaangoni tuhuma za ubadhirifu
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-10-02
Просмотров: 828
Описание:
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amegiza TAKUKURU kufanya uchunguzi wa ubadhirifu wa fedha za miradi ya Kijiji cha Airport, kilichopo katika Kata ya Mbesa zinazodaiwa kufujwa na viongozi wa kijiji hicho.
Viongozi hao pia wanatuhumiwa kuuza viwanja vya kijiji na viwaja vya mahakama katika Wilaya hiyo.
#AzamTV #AzamNews #AzamTVUpdates #Ufisadi #Ubadhirifu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: