WAHAMIAJI HARAMU 25 WAKAMATWA JIJINI MWANZA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2021-02-12
Просмотров: 1204
Описание:
Wahamiaji Haramu 25 mekamatwa na jeshi la uhamiaji mkoa wa Mwanza kwa Nyakati tofauti na watanzania 4 ambao walikuwa wanawahifadhi na kuwasafirisha wahamiaji hao.
Akizungumza ofisin kwake Kamishna msaidizi wa Uhamiaji (Afisa uhamiaji Mkoa wa Mwanza), Bahati Mwaifuge amesema wahamiaji hao wamekamatwa kwa nyakati tofauti ikiwa waburundi 13 ambao wote ni wanawake ,raia mmoja Mkenya na waethiopia 11.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: