Jamii ya wasomali nchini yasema haipingi oparesheni ya kutafuta wahalifu,inapinga inavyoendeshwa
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2014-04-13
Просмотров: 1060
Описание:
Jamii ya wasomali nchini kenya,imesema haipingi oparesheni inayoendelea kuwatafuta wahalifu,ila hawapendezwi na namna inavyoendeshwa wakidai inakiuka misingi ya kikatiba. Aidha baadhi ya jamaa wanaoendelea kuzuiliwa katika vituo vya polisi,wameitaka serikali pamoja na shirika la umoja wa mataifa linalohusika na maswala ya wakimbizi kuharakisha shughuli ya kuwatambua ili kuwaondolea taabu katika vizuizi. Wakati huohuo, oparesheni dhidi ya wahamiaji haramu na wasiokua na vibali iliendelezwa katika kaunti ya mombasa kama anavyoarifu ali manzu.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: