WAHAMIAJI HARAMU WAANGUA KILIO BAADA YA KUKAMATWA, WABEMBELEZANA WENYEWE -"WALIKUA WANAELEKEA SAUZI"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-05-12
Просмотров: 5204
Описание:
WAHAMIAJI HARAMU WAANGUA KILIO BAADA YA KUKAMATWA, WABEMBELEZANA WENYEWE -"WALIKUA WANAELEKEA SAUZI"
Wahamiaji haramu 17 raia wa kigeni wakiwemo 16 kutoka nchini Ethiopi na wawili kutoka nchini Somalia wameangua kilio katika kituo cha polisi Morogoro baada ya kukamatwa na jeshi la polisi wakati wakisafairishwa kinyemela kuelekea nchini Afrika kusini
Kamanda wa Polisi mkoa Morogoro Fortunatus Musilimu amethibitisha kukamatwa kwa wahamiaji hao ambapo amesema kukamatwa kwa wahamiaji hao ni mafanikio ya operesheni inayoendelea mkoai Humo ijulikananayo kama SAFISHA SAFISHA UHALIFU MOROGORO WASHA MOTO
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: