HAFLA YA UAPISHO WA BALOZI VALENTINO MLOWOLA NA KUPOKEA RIPOTI YA TAKUKURU. IKULU JIJINI DSM.
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2019-03-27
Просмотров: 6526
Описание:
Machi 28, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John pombe Magufuli amuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba
Pia Rais Dkt. Magufuli anapokea Ripoti ya Utendaji kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Inayowasilishwa na Kamishna Mkuu wa Taasisi hiyo Diwani Athuman.
tukio hili linakujia moja kwa moja kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: