Rais Magufuli aagiza mke wa Mlowola ‘akafanye kazi’ na mumewe
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-03-28
Просмотров: 3203
Описание:
Rais John Magufuli ameagiza mke wa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola kama ni mtumishi wa serikali basi aambatane na mume wake wakafanye kazi pamoja na kuongeza kuwa jambo hilo sio ajabu.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: