RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MWAKA NA MABALOZI WANAOWAKILISHA NCHI ZAO TANZANIA
Автор: Ikulu Tanzania
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 12189
Описание: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Mwaka Mpya wa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party) pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania, Wawakilishi wa Heshima na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa, katika hafla inayofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, leo tarehe 15 Januari, 2026.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: