TISEZA KUWAONDOLEA KODI WAWEKEZAJI NCHINI
Автор: SILILU MEDIATV
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 63
Описание:
Wawekezaji katika sekta mbalimbali mkoani Kagera, wameshauriwa kujisajili kwa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania –TISEZA- ili kunufaika na huduma zinazotolewa na mamlaka hiyo ikiwemo kuondolewa kodi wakati wa uingizaji wa vifaa kutoka nje ya nchi.
Ushauri huo umetolewa na mwekezaji katika sekta ya uchimbaji wa madini ya Dhahabu kutoka wilaya ya Biharamulo, Ndaisaba Luhoro, wakati wa kongamano kwa wawekezaji wa ndani, lililofanyika katika manispaa ya Bukoba.
• TISEZA KUWAONDOLEA KODI WAWEKEZAJI NCHINI
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: