BIMA YA AFYA KWA WOTE MKOMBOZI KWA WENYE ULEMAVU
Автор: SILILU MEDIATV
Загружено: 2026-01-29
Просмотров: 84
Описание:
Baadhi ya watu wenye ulemavu katika mkoa wa Kagera wamesema mpango wa Bima ya afya kwa wote, una manufaa makubwa kwao, maana utawasaidia kupata matibabu sahihi na kwa wakati.
Wakizungumza na SILIMU MEDIA wamesema kuwa, wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kushindwa kupata matibabu pindi wanapougua, kutokana na ukosefu wa fedha.
Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye ulemavu mkoa wa Kagera Frolence Felician amesema mpango wa Bima ya Afya kwa wote ni muhimu kwa kundi hilo, lakini akaomba wapewe elimu zaidi ili wapate ufahamu wa kutosha.
BIMA YA AFYA KWA WOTE MKOMBOZI KWA WENYE ULEMAVU • BIMA YA AFYA KWA WOTE MKOMBOZI KWA WENYE U...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: