MTAJI KIKWAZO KWA UWEKEZAJI KWA VIJANA
Автор: SILILU MEDIATV
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 122
Описание:
Tatizo la ukosefu wa mtaji limetajwa kuwa kikwazo kwa vijana wanaotaka kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali mkoani Kagera.
Akizungumza wakati wa kongamano la wawekezaji wa ndani, lililofanyika katika manispaa ya Bukoba, mwekezaji katika sekta ya uchimbaji wa madini ya Bati katika wilaya ya Kyerwa, Renatus Boniface amesema kuwa vijana wengi wanaamua kujiajiri baada ya kuhitimu vyuo na kukosa ajira.
Ameishukuru Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania –TISEZA- kwa kuendesha kongamano hilo kwa wawekezaji wa ndani, kwa lengo la kutoa elimu ya namna gani watawezeshwa kupata mitaji, lakini akashauri kiwango cha mtaji wa kuanzia kwa wawekezaji wa kawaida, ambacho ni shilingi milioni 150 kipunguzwe.
• MTAJI KIKWAZO KWA UWEKEZAJI KWA VIJANA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: