MISA YA SHUKRANI YA UFUKWENI YA UTUME WA VIWAWA KUTOKA JIMBO KUU LA DSM NA BAGAMOYO
Автор: Index Media_255
Загружено: 2025-12-29
Просмотров: 116
Описание:
ASKOFU MCHAMUNGU AWATAADHARISHA VIJANA KUHUSU ULIMWENGUNI WA KIDIGITALI.
Bagamoyo, TANZANIA
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Hendry Mchamungu amewataadharisha vijana wa Kanisa Katoliki nchini yaani VIWAWA kuwa na taadhari na matumizi ya mitandao ya kidigitali, isije kuwapotosha wakabaki na majuto maishani.
Askofu Mchamungu ameyaeleza hayo leo December 27, 2025 mjini Bagamoyo kwenye Homilia yake ya Misa ya Ufukweni iliyo andaliwa kwa pamoja VIWAWA kutoka Jimbo Kuu la Dar es Salaam na Jimbo Katoliki la Bagamoyo ambapo jumla ya VIWAWA 14,370 wamehudhuria Adhimisho hilo la Misa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: