ASKOFU STEPHANO MUSOMBA-OSA AWATAKA VIJANA WAKATOLIKI NCHINI KUJITUNZA.
Автор: Index Media_255
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 87
Описание:
ASKOFU STEPHANO MUSOMBA-OSA AWATAKA VIJANA WAKATOLIKI NCHINI KUJITUNZA.
Bagamoyo, TANZANIA
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo Mhashamu Stephano Lameck Musomba-OSA amewahusia Vijana Wakatoliki Nchini yaani VIWAWA kujitunza kiakili, kiroho na kimwili ili kudumisha maadili na baadae kujenga familia zilizo bora.
Askofu Musomba alieleza hayo leo December 27, 2025 kwenye Nasaha zake wakati wa kuhitimisha Adhimisho la Misa Takatifu ya Ufukweni iliyofanyika Bagamoyo kwa Nia ya Kumshukuru Mungu Mungu kwa kuwalinda VIWAWA wote wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo pamoja na wale wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Adhimisho hilo lililohudhuriwa pia na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Hendry Mchamungu na vijana zaidi ya 14,300 kutoka parokia za Jimbo Katoliki la Bagamoyo pamoja na Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: