VIJANA DAY TABATA - VIBE KAMA LOTE.
Автор: Index Media_255
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 152
Описание:
VIJANA DAY TABATA - VIBE KAMA LOTE.
Kristo Mfalme, TABATA DSM
Utume wa Vijana Wafanyakazi Wakatoliki (VIWAWA) Parokia ya Kristo Mfalme Tabata, Jimbo Kuu la Dar es Salaam Jumapili January 25, 2026 walifanya Siku ya Vijana (Vijana Day) kwa kushiriki Misa Takatifu ya Shukrani kwa Mungu kwa Mema na Neema Mungu alizo wajalia kwa mwaka jana 2025 na baadae jioni/usiku wakafanya tafrija kabambe yenye hadhi ya Kristo Mfalme.
Mgeni Rasmi katika Tafrija hiyo ni Bi Honester Nduguru (CPA-TZ) ambae ni Mwenyekiti wa Kamati ya Tegemeza Jimbo, Parokia ya Kristo Mfalme Tabata. Pia aliongozana na Paroko Msaidizi Fr Christopher Ken'yaa, ambae ni Mlezi wa VIWAWA Parokia pamoja na Katibu wa Halmashauri ya Walei Parokia Bi Theresia Soka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: