BILIONI 200 ZAMGEUKIA NONDO, UVCCM WAMKABA KOO VIBAYA
Автор: Gilly Bonny Tv
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 54
Описание:
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani ameonyesha masikitiko yake makubwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo ndugu Abdul Nondo kwa kile alichokiita upotoshaji wa hali ya juu kuhusu fedha zilizotolewa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenda kwenye makundi maalum ya vijana na wanawake, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zake za siku 100 za serikali ya awamu ya sita muhula wa pili.
Ndugu Faris ameeleza kwamba kinachofanywa na Nondo ni upotoshaji na pia ni kielelezo cha uelewa mdogo wa mambo alionao juu ya utaratibu wa utolewaji wa fedha hizo. Aidha, ndugu Faris amemshauri kiongozi huyo kutumia nafasi yake ili kuwaandaa vijana walio chini yake ili wanufaike na fedha hizo badala ya kutumia muda mwingi kupotosha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: