ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Waziri Mkuu kufanya ziara Arusha

Автор: Orkonerei Digital

Загружено: 2026-02-21

Просмотров: 221

Описание: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi mkoani Arusha kuanzia Februari 22 hadi 24, 2026, ambapo atakagua miradi sita yenye thamani ya Shilingi bilioni 194.2 katika wilaya za Arumeru, Longido na Arusha, pamoja na kuzungumza na wananchi.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, siku ya kwanza ya ziara hiyo itahusisha uwekaji jiwe la msingi katika bweni la kisasa la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Sayansi cha Nelson Mandela, ukaguzi wa upanuzi wa miundombinu ya Hospitali ya Oltrumet na mkutano wa hadhara Ngaramtoni.

Februari 23, Waziri Mkuu anatarajiwa kutembelea Wilaya ya Longido ambako atapokea taarifa ya mradi wa maji Sinya, kuzindua upanuzi wa Shule ya Sekondari Sinya hadi kidato cha tano na sita, kukagua Kituo cha Huduma za Pamoja (One Stop Border Post) Namanga na kuhutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Shule ya Msingi Namanga.

Siku ya mwisho ya ziara hiyo, Waziri Mkuu atakuwa Wilaya ya Arusha akitarajiwa kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi Bondeni City, kuweka jiwe la msingi katika soko la Kilombero na kuzungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara jijini Arusha.

Mkuu wa Mkoa amewaalika wananchi kushiriki katika mikutano hiyo ya hadhara, akieleza kuwa ziara hiyo inalenga kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusikiliza maoni ya wananchi katika maeneo husika.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Waziri Mkuu kufanya ziara Arusha

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

LIVE: Ziara ya Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wilayani Kiteto

LIVE: Ziara ya Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wilayani Kiteto

INJINIA ALIYEJENGA SHULE za KATA ARUSHA TANGU 2007 HAJALIPWA PESA - AMEFILISIKA - MAKONDA AHUZUNIKA

INJINIA ALIYEJENGA SHULE za KATA ARUSHA TANGU 2007 HAJALIPWA PESA - AMEFILISIKA - MAKONDA AHUZUNIKA

PART 02: ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

PART 02: ARUSHA YASIMAMA, MKASA WAKUSIKITISHA WA MAMA HUYU MBELE YA RC MAKONDA

LIVE: Ziara ya Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wilayani Simanjiro

LIVE: Ziara ya Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wilayani Simanjiro

NGATANDA AFICHUA SIRI YA UBORESHAJI WA KILIMO KILWA

NGATANDA AFICHUA SIRI YA UBORESHAJI WA KILIMO KILWA

MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA

MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA

"СРОЧНАЯ ЭВАКУАЦИЯ! Детей Кадырова ЗАДЕРЖАЛИ. В Чечне переполох: будущее клана Рамзана ТУМАННО"

MDAHALO WA KITAALAMU KUHUSU MATUMIZI YA AI KATIKA SEKTA YA UMMA

MDAHALO WA KITAALAMU KUHUSU MATUMIZI YA AI KATIKA SEKTA YA UMMA

Wojna jest teraz w Moskwie: Miliony w panice, Ukraina uderza w stolicę Rosji i 13 regionów

Wojna jest teraz w Moskwie: Miliony w panice, Ukraina uderza w stolicę Rosji i 13 regionów

LIVE: Ziara ya Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wilayani Kiteto

LIVE: Ziara ya Waziri mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba wilayani Kiteto

⚡️ЯКОВЕНКО: План Путина ТРЕЩИТ. Военные РАЗНОСЯТ Кремль по ПОЛНОЙ. Соловьев сам В ШОКЕ

⚡️ЯКОВЕНКО: План Путина ТРЕЩИТ. Военные РАЗНОСЯТ Кремль по ПОЛНОЙ. Соловьев сам В ШОКЕ

Arusha Yazindua mkakati wa kudhibiti Uchafu

Arusha Yazindua mkakati wa kudhibiti Uchafu

🔥ПОРТНИКОВ: Под ударом Европейские столицы – ПЛАН путина начал действовать! Иран уже нацелился на...

🔥ПОРТНИКОВ: Под ударом Европейские столицы – ПЛАН путина начал действовать! Иран уже нацелился на...

Первые ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана В БОЮ! Орешник РАЗНОСИТ Тегеран: ПРВДА о Kheibar. США приказали БОМБИТЬ

Первые ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана В БОЮ! Орешник РАЗНОСИТ Тегеран: ПРВДА о Kheibar. США приказали БОМБИТЬ

Mwenyekiti wa Lobosoit A akielezea mgogoro mbele ya Waziri Mkuu

Mwenyekiti wa Lobosoit A akielezea mgogoro mbele ya Waziri Mkuu

Ofisi ya Mbunge Simanjiro: Mwalimu Papaye Ole Njiday Afafanua siku za kuwasilisha kero kwa mbunge

Ofisi ya Mbunge Simanjiro: Mwalimu Papaye Ole Njiday Afafanua siku za kuwasilisha kero kwa mbunge

KATIBU UVCCM MKOA WA MOROGORO AWATAKA VIJANA KULINDA AMANI NA KUZUNGUMZA MAZURI YA SERIKALI

KATIBU UVCCM MKOA WA MOROGORO AWATAKA VIJANA KULINDA AMANI NA KUZUNGUMZA MAZURI YA SERIKALI

MBUNGE WA ARUMERU AZOMEWA MSIBANI AKIWA ANAONGELEA MAMBO YA BARABARA

MBUNGE WA ARUMERU AZOMEWA MSIBANI AKIWA ANAONGELEA MAMBO YA BARABARA

ORODHA YA MAASKOFU WOTE WA JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA TANGU 1963 MPAKA SASA

ORODHA YA MAASKOFU WOTE WA JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA TANGU 1963 MPAKA SASA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]