MITA 400 ZA BARABARA ZA KITUO CHA AFYA ILEMI ZAWA MATESO KWA WANANCHI JIJINI MBEYA
Автор: MACHWEO ONLINE TV
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 14
Описание:
Na Tedius Simfukwe – MBEYA.
Ni kilio kwa wananchi cha takribani mita 400 tu kutoka barabara ya lami Ilemi jijini Mbeya, mita hizo ambazo zimekuwa safari ya shida wakati wa kiangazi unakutana na vumbi huku kipindi cha mvuwa tope la utelezi likiwa kikwazo ambapo changamoto ya barabara imekuwa ikikatisha tamaa kwa maafisa usafirishaji , huku wagonjwa wakishushwa njiani na kulazimika kutembea au kubebwa ili kufika katika Kituo cha Afya Ilemi kilichopo jijini mbeya.
Leo, wakati wa ziara ya Diwani wa Kata ya Ilemi, Baraka Zambi, katika mitaa ya Ilemi na Masewe, kilio hicho kimeibuka kwa wananchi Pamoja na maafisa usafirishaji wakieleza changamoto ya barabara inayokwenda katika Kituo cha Afya ,
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: