Maisha ya kisasa yanavyoathiri mfumo wa chakula na kinga ya mwili | Dr. Jeremiah Pyuza, MD, PhD
Автор: Dr. Faraja M.
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 54
Описание:
Mabadiliko ya maisha ya kisasa yanaathiri vipi kinga ya mwili? Katika mahojiano haya, tunaelezea jinsi lishe ya leo, mazingira, na mabadiliko ya mfumo wa chakula (microbiome) yanavyoweza kubadilisha uwezo wa mwili kupambana na magonjwa.
Utajifunza:
• Uhusiano kati ya bakteria wa tumboni na kinga ya mwili
• Athari za vyakula vya kisasa kwa microbiome
• Tofauti kati ya maisha ya jadi na maisha ya kisasa
• Kwa nini kinga ya mwili imebadilika katika jamii za Afrika
Usisahau ku-like, share na subscribe
Social media links
Instagram: / drfaraja_md
Tiktok: / dr.farajam
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: