Vitu 3 Vinavyoongeza Hatari ya Kupata Saratani (#1 Familia Yako?) | Daktari Bingwa Aeleza
Автор: Dr. Faraja M.
Загружено: 2026-03-08
Просмотров: 226
Описание:
Saratani inaongezeka duniani hasa kwa nchi za Afrika. Baadhi ya watu wana hatari kubwa zaidi kutokana na historia ya familia pamoja na sababu zingine. Video hii itakusaidia kuelewa hatari yako na namna ya kujikinga.
Dr. Glory Makupa (KCMC), daktari bingwa magonjwa ya saratani (oncologist), anaelezea kwa kina:
Kwa nini visa vya saratani vinaongezeka duniani
Sababu kuu za hatari ya kupata saratani
Nafasi ya historia ya familia katika kupata saratani
Hatua unazoweza kuchukua kupunguza hatari yako
🎥 Tazama hadi mwisho kujifunza hatua muhimu za kulinda afya yako na familia yako.
Usisahau ku-like, share na subscribe
Social media links
Instagram: / drfaraja_md
Tiktok: / dr.farajam
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: