Utatumia Dawa Sana Kama Hutajua Haya Kuhusu Dawa na Matibabu
Автор: Dr. Faraja M.
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 558
Описание:
Watu wengi hulalamika kuwa matibabu hayafanyi kazi, lakini mara nyingi kuna sababu zinazochangiwa na mtindo wa maisha, matumizi mabaya ya dawa, au kutofuata maelekezo ya daktari.
Katika video hii utaelewa:
Sababu kuu zinazofanya matibabu yasifanye kazi
Makosa ya kawaida wakati wa kutumia dawa
Mambo yanayopunguza nguvu ya dawa mwilini
Nini cha kufanya ili matibabu yako yafanye kazi vizuri
Afya njema ndio mtaji bora wa maisha
Usisahau ku-like, share na subscribe
#medication #matibabu #treatment #dawa
Social media links
Instagram: / drfaraja_md
Tiktok: / dr.farajam
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: