ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Walinda amani wanawake wa UN kutoka Tanzania wanavyosongesha haki nchini DRC

Автор: Habari za UN

Загружено: 2026-03-05

Просмотров: 5825

Описание: #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #Tanzania #drc #jwtz #monusco #tanzqrf05

Wakati dunia ikielekea kuadhimisha siku ya wanawake tarehe 08 Machi mwaka huu, tuelekee huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) ambako walinda amani wanawake wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania nao ni sehemu ya wanajeshi wanaotekeleza jukumu la ulinzi wa amani, na katika mada hii kwa kina tunamulika ni kwa vipi ushiriki wao umekuwa sehemu ya ufunguo wa mafanikio ya jukumu la Ulinzi wa Amani na usalama la Umoja wa Mataifa jimboni Kivu Kaskazini, Mashariki mwa taifa hilo la Maziwa Makuu. Afisa Habari wa Kikosi cha msaada wa haraka cha Tano cha Tanzania (TANZQRF-05) kinachohudumu chini

ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO, Kapteni Ally Ituja amefuatilia mchango wao na kuandaa mada hii kwa kina inayowasilishwa na Praiveti Habib Shaban.

Pata taarifa ya habari, makala, habari kwa picha , mahojiano na matukio kuhusu masuala ya kibinadamu, SDGs na mengine mengi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Ni "Habari za UN" kutoka makao makuu ya UN New York City.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Walinda amani wanawake wa UN kutoka Tanzania wanavyosongesha haki nchini DRC

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

UNHCR Tanzania: Kurejea nyumbani kwa wakimbizi wa Burundi ni kwa hiari na si shuruti

UNHCR Tanzania: Kurejea nyumbani kwa wakimbizi wa Burundi ni kwa hiari na si shuruti

LISTEN: 'We Will NEVER Stop Asking For MORE' Anyang' Nyong'o INSPIRING Speech To President Ruto

LISTEN: 'We Will NEVER Stop Asking For MORE' Anyang' Nyong'o INSPIRING Speech To President Ruto

Mafunzo ya WLAC yanufaisha jamii nchini Tanzania

Mafunzo ya WLAC yanufaisha jamii nchini Tanzania

JARIDA LA HABARI ZA UN TAREHE 05 MACHI 2026

JARIDA LA HABARI ZA UN TAREHE 05 MACHI 2026

Мусульмане СУННИТЫ и ШИИТЫ – КАК так вышло?

Мусульмане СУННИТЫ и ШИИТЫ – КАК так вышло?

WLAC yawasaidia wanawake waathirika wa ukatili nchini Tanzania

WLAC yawasaidia wanawake waathirika wa ukatili nchini Tanzania

Habari za UN 10 Machi 2026 - Makubaliano yasibakie ndani ya vyumba yafikie wahusika - Imarisha Usawa

Habari za UN 10 Machi 2026 - Makubaliano yasibakie ndani ya vyumba yafikie wahusika - Imarisha Usawa

Почему «вагнера» вплотную подходили к украинским позициям? | Крым.Реалии

Почему «вагнера» вплотную подходили к украинским позициям? | Крым.Реалии

Król Szwecji Karol XVI Gustaw z Prezydentem RP Karolem Nawrockim

Król Szwecji Karol XVI Gustaw z Prezydentem RP Karolem Nawrockim

💥Трампа СНЕСУТ ПОСЛЕ ЭТОГО. ФБР ОБНАРОДОВАЛО жесткий КОМПРОМАТ. Все в ШОКЕ @МирВранья

💥Трампа СНЕСУТ ПОСЛЕ ЭТОГО. ФБР ОБНАРОДОВАЛО жесткий КОМПРОМАТ. Все в ШОКЕ @МирВранья

BILA UOGA JAMAA AULIZIA KATIBA MPYA Mbele ya Waziri Mkuu

BILA UOGA JAMAA AULIZIA KATIBA MPYA Mbele ya Waziri Mkuu "Kesho Naweza Kujikuta Nipo Kuzimu"

RUNGWE

RUNGWE "MZEE WA UBWABWA" ANOGESHA SIKU YA WANAWAKE CHAUMMA

IRAN yaionya MAREKANI yadai operesheni zake dhidi ya MAADUI zitakuwa kali zaidi na pana zaidi

IRAN yaionya MAREKANI yadai operesheni zake dhidi ya MAADUI zitakuwa kali zaidi na pana zaidi

"Uderzymy 20 razy mocniej!" Trump grozi Iranowi, Teheran zapowiada odwet

WATANZANIA WASIMULIA KILICHOWAKUTA DUBAI ,VITA YA IRANI NI MOTO TUMERUDI KUTOKA DUBAI

WATANZANIA WASIMULIA KILICHOWAKUTA DUBAI ,VITA YA IRANI NI MOTO TUMERUDI KUTOKA DUBAI

Msaada wa haraka unahitajika kuinasua Somalia kutumbukia katika njaa

Msaada wa haraka unahitajika kuinasua Somalia kutumbukia katika njaa

Советский союз - история на карте

Советский союз - история на карте

Alya Abu Shawish, mwanamke aliyeko mstari wa mbele kuondoa hatari ya mabomu Gaza

Alya Abu Shawish, mwanamke aliyeko mstari wa mbele kuondoa hatari ya mabomu Gaza

BINTI YANGU Full episode [ 117 ] #love

BINTI YANGU Full episode [ 117 ] #love

Relaxing Walk by Lake Tanganyika 🇧🇮 | Bujumbura Burundi

Relaxing Walk by Lake Tanganyika 🇧🇮 | Bujumbura Burundi

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]