ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WLAC yawasaidia wanawake waathirika wa ukatili nchini Tanzania

Автор: Habari za UN

Загружено: 2026-03-05

Просмотров: 41

Описание: #HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #wilac #Tanzania #Kagera

Kuelekea Siku ya wanawake Duniani itakayoadhimishwa tarehe 8 Machi, mwaka huu ikijikita na haki, na haki ya kisheria kwa wanawake, tunakupele nchini Tanzania kumsikia mmoja wa wanawake wanufaika na msaada kutoka Kituo cha Msaada wa Kisheria kwa Wanawake WLAC, aliyekuwa akinyanyaswa na mumewe na kufukuzwa bila chochote.

Katika kijiji cha Ijumbi, wilayani Muleba Mkoani Kagera Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, hii ni simulizi ya Ansfrida Prospeli ambaye ni sauti ya maumivu, lakini pia ya ushindi. Kwani kwa miaka kadhaa aliishi ndani ya ndoa yenye ukatili, kipigo, kufukuzwa usiku, na hata kupelekwa hospitalini baada ya kupoteza fahamu kutokana na kipigo. Leo, anasimama imara, akisema haki inawezekana.

Pata taarifa ya habari, makala, habari kwa picha , mahojiano na matukio kuhusu masuala ya kibinadamu, SDGs na mengine mengi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Ni "Habari za UN" kutoka makao makuu ya UN New York City.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WLAC yawasaidia wanawake waathirika wa ukatili nchini Tanzania

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

UNHCR Tanzania: Kurejea nyumbani kwa wakimbizi wa Burundi ni kwa hiari na si shuruti

UNHCR Tanzania: Kurejea nyumbani kwa wakimbizi wa Burundi ni kwa hiari na si shuruti

Walinda amani wanawake wa UN kutoka Tanzania wanavyosongesha haki nchini DRC

Walinda amani wanawake wa UN kutoka Tanzania wanavyosongesha haki nchini DRC

Электричество НЕ течёт по проводам — тревожное открытие Ричарда Фейнмана

Электричество НЕ течёт по проводам — тревожное открытие Ричарда Фейнмана

Mafunzo ya WLAC yanufaisha jamii nchini Tanzania

Mafunzo ya WLAC yanufaisha jamii nchini Tanzania

IMARISHA USAWA na ujumbe wake CSW70

IMARISHA USAWA na ujumbe wake CSW70

Шарашенидзе: «Слава богу, Иран не собирается нападать на Грузию»

Шарашенидзе: «Слава богу, Иран не собирается нападать на Грузию»

Грозный ГУДИТ! Погиб ЛУЧШИЙ ДРУГ Кадырова: ПЫШНЫЕ ПОХОРОНЫ на всю Чечню. Вот ЧТО СЛУЧИЛОСЬ

Грозный ГУДИТ! Погиб ЛУЧШИЙ ДРУГ Кадырова: ПЫШНЫЕ ПОХОРОНЫ на всю Чечню. Вот ЧТО СЛУЧИЛОСЬ

ДНК Помпей разрушила всё, что мы знали о Древнем Риме

ДНК Помпей разрушила всё, что мы знали о Древнем Риме

Habari za UN 10 Machi 2026 - Makubaliano yasibakie ndani ya vyumba yafikie wahusika - Imarisha Usawa

Habari za UN 10 Machi 2026 - Makubaliano yasibakie ndani ya vyumba yafikie wahusika - Imarisha Usawa

Jarida la Habari za UN la Februari 26, 2026 likiwasilishwa na Anold Kayanda

Jarida la Habari za UN la Februari 26, 2026 likiwasilishwa na Anold Kayanda

JARIDA LA HABARI ZA UN TAREHE 05 MACHI 2026

JARIDA LA HABARI ZA UN TAREHE 05 MACHI 2026

Msaada wa haraka unahitajika kuinasua Somalia kutumbukia katika njaa

Msaada wa haraka unahitajika kuinasua Somalia kutumbukia katika njaa

Крымские татары — НЕ монголы? Шокирующая правда в их ДНК!

Крымские татары — НЕ монголы? Шокирующая правда в их ДНК!

Jarida la UN tarehe 03 Machi 2026 likiwasilishwa na Leah Mushi

Jarida la UN tarehe 03 Machi 2026 likiwasilishwa na Leah Mushi

😮ЯКОВЕНКО: В студии ЖЕСТЬ: Скабеева ПОБЕЛЕЛА! Путину КОНЕЦ, НЕСУТ НЕМЫСЛИМОЕ про

😮ЯКОВЕНКО: В студии ЖЕСТЬ: Скабеева ПОБЕЛЕЛА! Путину КОНЕЦ, НЕСУТ НЕМЫСЛИМОЕ про "СВО"

Jarida la Habari za UN la Februari 24 na Anold Kayanda

Jarida la Habari za UN la Februari 24 na Anold Kayanda

⚡ЖИРНОВ: Дерзкое обращение Зеленского ПОДНЯЛО ВЕСЬ ЕС! Путин ВНЕЗАПНО ответил по Ирану. СКАНДАЛ С РФ

⚡ЖИРНОВ: Дерзкое обращение Зеленского ПОДНЯЛО ВЕСЬ ЕС! Путин ВНЕЗАПНО ответил по Ирану. СКАНДАЛ С РФ

Вода нарушает законы физики — тревожное объяснение Фейнмана, которое пугает учёных

Вода нарушает законы физики — тревожное объяснение Фейнмана, которое пугает учёных

Hali si shwari Mashariki ya Kati UN yasisitiza usitishaji uhasama

Hali si shwari Mashariki ya Kati UN yasisitiza usitishaji uhasama

Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba kinafundisha lugha ya Kiswahili.

Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba kinafundisha lugha ya Kiswahili.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]