RUNGWE "MZEE WA UBWABWA" ANOGESHA SIKU YA WANAWAKE CHAUMMA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 78
Описание:
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimewataka wanawake kuendelea kushikamana na kuwa imara zaidi ili kuweza kufikia malengo yao.
Hayo yamesema na Makamu Mweyekiti wa Chama hicho Mh Devota Minja, wakati wa kongamano maalum lilifanyika jijini Dar es Salaaam kama sehemu ya maadhimisho ya siku hiyo.
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi amewapongeza na kuwashukuru sana wanawake wa chama hicho kwa mchango wao Katika kukikuza chama.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: