SIMBA AVAMIA VIJIJI - GANZE, KILIFI
Автор: COCO FM RADIO
Загружено: 2025-07-13
Просмотров: 3388
Описание:
Wakaazi wa Kaembeni na Malanga katika wadi ya Sokoke Ganze, Kaunti ya Kilifi, wanaishi kwa taharuki tangu siku tatu zilizopita kufuatia kuvamiwa na Simba anayeaminika alitoroka kutoka Tsavo na anaishi katika msitu ulioko karibu nao.
#mionziyacocofm
#COCOFM
#ladhayapwani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: