WAFUNGWA KATIKA KAUNTI YA KILIFI WAOMBA UHURU WA KUTENDA TENDO LA NDOA NA WAKE ZAO WANAPOTEMBELEWA
Автор: Al Shifaa Television Kenya
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 3963
Описание:
.Baadhi ya wafungwa katika kaunti ya Kilifi wamelalamikia kunyimwa nafasi ya kushiriki tendo la ndoa wanapotembelea na wapenzi wao. Wafungwa hao wanautaka usimamizi wa magereza katika kaunti hiyo kuwatengea mahali ambapo watakua na fursa ya kufanya hivyo wakitaja kwamba ni haki yao na haifai kukandamizwa.Mtazamaji tupatie maoni yako , je nisawa wafungwa kupewa nafasi ya kushiriki tendo la ndoa gerezani?
#mombasa #trending #kilifi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: