NG'OMBE 69 WAPIGWA NA RADI/ WANA THAMANI ZAIDI YA MILLION 35/ MBUNGE AFIKA KUTOA POLE
Автор: Uyui FM Radio
Загружено: 2021-01-15
Просмотров: 237463
Описание:
Ngombe 69 wamekufa kwa kupigwa na radi katika wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora wanaokadriwa kuwa na thamani zaidi ya shillingi million 35 wote wakiwa ni mali ya Bw. Lubinza Bambasi.
Baada ya tukio hilo mbunge wa jimbo la Tabora kaskazini Almas Maige amefika na kutoa pole kwa familiya kwa ambapo ametoa faraja kwa kumkabidhi mhanga fedha taslimu shilingi millioni moja.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: