ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TADB, Sivat Agribusiness na Wafugaji wadogo wanavyoshirikiana kuongeza thamani ya maziwa Arumeru

Автор: tadbtz

Загружено: 2025-08-08

Просмотров: 260

Описание: Sivat Agribusiness ni kiwanda cha kuchakata maziwa kilichopo Wilaya ya Arumeru, Mkoa wa Arusha, kinachofanya kazi kwa karibu na wafugaji wadogo ili kuongeza thamani katika mnyororo wa maziwa hapa Tanzania.

Kupitia uwezeshaji wa kifedha kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Sivat imeweza kuwekeza kwenye mitambo ya kisasa ya kuchakata maziwa na miundombinu ya baridi ya kuhifadhi maziwa, hatua iliyoboreshwa ubora, usalama na muda wa matumizi wa bidhaa za maziwa.

Kwa kununua maziwa moja kwa moja kutoka kwa wafugaji wadogo, kuyachakata kuwa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, na kuyasambaza sokoni, Sivat inaongeza thamani katika kila hatua ya mnyororo wa uzalishaji.

Ushirikiano huu umefungua fursa kwa wafugaji kupata soko la uhakika, bei bora, na malipo ya wakati ikiwa ni mfano bora wa jinsi uwezeshaji wa kilimo-biashara unavyoweza kuleta mabadiliko ya kweli katika maisha ya wakulima na wafugaji wadogo nchini.

#TADB #kilimokinabenkika #miaka10yamabadiliko #10yearsoftransformation #dairyfarm #dairy #dairymilk #TI3P #sivat #KilimoBiashara #SektaYaMaziwa #UwezeshajiVijana #10YearsOfTADB

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TADB, Sivat Agribusiness na Wafugaji wadogo wanavyoshirikiana kuongeza thamani ya maziwa Arumeru

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

КОМОК и Слизь В ГОРЛЕ Это НЕ Простуда! Доктор Мясников

Как живут иранцы. Взгляд изнутри.

Как живут иранцы. Взгляд изнутри.

Россия победила в войне / Официальное заявление МИД

Россия победила в войне / Официальное заявление МИД

⚡️ Штурмовики прорвали границу || Военные заявляют о тяжёлых боях

⚡️ Штурмовики прорвали границу || Военные заявляют о тяжёлых боях

Raphael Group Limited | Amewezeshwa na TADB

Raphael Group Limited | Amewezeshwa na TADB

Чего на самом деле боится пустой желудок?

Чего на самом деле боится пустой желудок?

VITASA | Ibrahim Mafia vs Alvin Camique | Knockout ya Mama 2025 Season 6

VITASA | Ibrahim Mafia vs Alvin Camique | Knockout ya Mama 2025 Season 6

TADB na Mageuzi ya Ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa Itigi

TADB na Mageuzi ya Ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa Itigi

6 лучших продукта для здоровых зубов и десен. Что полезно для зубов?

6 лучших продукта для здоровых зубов и десен. Что полезно для зубов?

Unbelievable Workers | Working with Talented Engineers #09

Unbelievable Workers | Working with Talented Engineers #09

7 привычек чтобы реже ходить по врачам. Научный подход к здоровью в 50+

7 привычек чтобы реже ходить по врачам. Научный подход к здоровью в 50+

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

Jinsi Mkopo wa TADB Ulivyomgeuza Mkulima Mdogo Kuwa Mwekezaji Mkubwa wa Maziwa

Jinsi Mkopo wa TADB Ulivyomgeuza Mkulima Mdogo Kuwa Mwekezaji Mkubwa wa Maziwa

TAZAMA WAFUGAJI WANAOTUMIA TEKNOLOJIA MPYA NA  ZA KISASA KUONGEZA UZALISHAJI

TAZAMA WAFUGAJI WANAOTUMIA TEKNOLOJIA MPYA NA ZA KISASA KUONGEZA UZALISHAJI

Wanufaika wa TADB Kagera Wapata Soko la Uhakika Kupitia Kahama Fresh

Wanufaika wa TADB Kagera Wapata Soko la Uhakika Kupitia Kahama Fresh

ГИТЛЕР НЕ СПАЛ 3 НОЧИ: Как УЗБЕКСКИЙ КУЗНЕЦ превратил ОБЫЧНЫЙ МОЛОТ в оружие против 31 ТИГРА

ГИТЛЕР НЕ СПАЛ 3 НОЧИ: Как УЗБЕКСКИЙ КУЗНЕЦ превратил ОБЫЧНЫЙ МОЛОТ в оружие против 31 ТИГРА

BAADHI YA SHUGHULI ZINAZOFANYWA TALIRI KANDA YA MASHARIKI.

BAADHI YA SHUGHULI ZINAZOFANYWA TALIRI KANDA YA MASHARIKI.

WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?

WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?

Что СДЕЛАЛ Иран этой ночью

Что СДЕЛАЛ Иран этой ночью

СОН КАК У МЛАДЕНЦА! Бессонница уйдет мгновенно: выпейте это на ночь | Доктор объясняет

СОН КАК У МЛАДЕНЦА! Бессонница уйдет мгновенно: выпейте это на ночь | Доктор объясняет

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]