Jinsi Mkopo wa TADB Ulivyomgeuza Mkulima Mdogo Kuwa Mwekezaji Mkubwa wa Maziwa
Автор: tadbtz
Загружено: 2025-08-06
Просмотров: 2511
Описание:
#TADB #miaka10yamabadiliko
Maisha yanabadilika kwa mikopo yenye riba nafuu!
Tazama ujifunze namna riba nafuu na ufadhili wa kilimo vinaweza kuleta mabadiliko ya kweli!
Huyu hapa JSM Dairy kutoka Arusha mfugaji aliyepiga hatua kubwa kutoka kuwa na ng’ombe 6 hadi 200, akizalisha zaidi ya lita 1,200 za maziwa kwa siku kupitia mkopo wa TADB wenye riba nafuu ya 9%.
Kupitia uwezeshaji wa TADB, JSM Dairy ameweza:
✅ Kuongeza uzalishaji na idadi ya ng’ombe
✅ Kupata vifaa na teknolojia za kisasa
✅ Kuajiri vijana
✅ Kupanua mashamba na soko
Hivi ndivyo TADB inavyowainua wafugaji nchini!
👉 Usisahau kusubscribe, like na kushare na wengine!
#KilimoKinaBenkika #Miaka10YaTADB #10YearsOfTransformation #TADBImpact #KilimoBiashara #JSMdairy #MaziwaBora #ShuhudaTADB #AgribusinessSuccess
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: