ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Wanufaika wa TADB Kagera Wapata Soko la Uhakika Kupitia Kahama Fresh

Автор: tadbtz

Загружено: 2025-08-07

Просмотров: 265

Описание: Kupitia uwezeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kiwanda cha Kahama Fresh kimekuwa mkombozi kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa mkoani Kagera.

Mtandao wa vituo vya ukusanyaji maziwa, wafugaji waliopata mikopo kutoka TADB sasa wanapata soko la uhakika la kuuza maziwa yao kila siku kwa bei nzuri na kwa wakati.

Ushirikiano huu baina ya TADB na Kahama Fresh umeleta mapinduzi ya kweli. Watu wengi zaidi sasa wamehamasika kuwekeza katika ufugaji wa ng’ombe wa maziwa kutokana na kuaminika kwa soko. Hii imechochea ongezeko la uzalishaji, kipato kwa kaya, na ukuaji wa uchumi wa ndani.

Kahama Fresh si tu mnunuzi, bali ni mshirika wa maendeleo. Kwa pamoja na TADB, wamejenga mnyororo imara wa thamani unaoleta mabadiliko chanya kwa jamii: kuunda ajira, kukuza kilimo-biashara, na kuimarisha maisha ya wafugaji wa Kagera.

#TADB #kilimokinabenkika #miaka10yamabadiliko #10yearsoftransformation #dairyfarm #dairy #dairymilk #TI3P #KahamaFresh #KilimoBiashara #SektaYaMaziwa #UwezeshajiVijana #10YearsOfTADB

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Wanufaika wa TADB Kagera Wapata Soko la Uhakika Kupitia Kahama Fresh

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Raphael Group Limited | Amewezeshwa na TADB

Raphael Group Limited | Amewezeshwa na TADB

Россия победила в войне / Официальное заявление МИД

Россия победила в войне / Официальное заявление МИД

Иран подорвал танкеры в Персидском заливе. Дрон попал по элитному отелю в Дубае / Вот Так. Кратко

Иран подорвал танкеры в Персидском заливе. Дрон попал по элитному отелю в Дубае / Вот Так. Кратко

BAADHI YA SHUGHULI ZINAZOFANYWA TALIRI KANDA YA MASHARIKI.

BAADHI YA SHUGHULI ZINAZOFANYWA TALIRI KANDA YA MASHARIKI.

⚡️ Штурмовики прорвали границу || Военные заявляют о тяжёлых боях

⚡️ Штурмовики прорвали границу || Военные заявляют о тяжёлых боях

Kutana na Muuza maziwa SMART, nilianza na mtaji wa 14000 tu, sasa namiliki usafiri, nasambaza maziwa

Kutana na Muuza maziwa SMART, nilianza na mtaji wa 14000 tu, sasa namiliki usafiri, nasambaza maziwa

🎙️ Podcast Shambani – Episode 08: TADB yamuinua mfugaji wa kuku wa mayai Zanzibar

🎙️ Podcast Shambani – Episode 08: TADB yamuinua mfugaji wa kuku wa mayai Zanzibar

DAR ES SALAAM DOCUMENTARY _  TANZANIA YA SAMIA | MEENA ALLY | IDRIS SULTAN #film #tanzania

DAR ES SALAAM DOCUMENTARY _ TANZANIA YA SAMIA | MEENA ALLY | IDRIS SULTAN #film #tanzania

MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA

MAMBO YA KUZINGATIA ILI BIASHARA YAKO IFANIKIWE - JOEL NANAUKA

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

KIJANA WA MIAKA 32 ANAYEMILIKI MALORI 7 YA FAW, ALIKOPA KWA KUTUMIA NYUMBA AKAMFICHA MKEWE

Jinsi Mkopo wa TADB Ulivyomgeuza Mkulima Mdogo Kuwa Mwekezaji Mkubwa wa Maziwa

Jinsi Mkopo wa TADB Ulivyomgeuza Mkulima Mdogo Kuwa Mwekezaji Mkubwa wa Maziwa

Karagwe kagera : Historia ya wanyambo na mfalme #rumanyika

Karagwe kagera : Historia ya wanyambo na mfalme #rumanyika

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

TAZAMA WAFUGAJI WANAOTUMIA TEKNOLOJIA MPYA NA  ZA KISASA KUONGEZA UZALISHAJI

TAZAMA WAFUGAJI WANAOTUMIA TEKNOLOJIA MPYA NA ZA KISASA KUONGEZA UZALISHAJI

KUTANA NA MFUGAJI BORA KANDA YA MASHARIKI KISARAWE

KUTANA NA MFUGAJI BORA KANDA YA MASHARIKI KISARAWE

Лукашенко 8 марта посетил ресторан

Лукашенко 8 марта посетил ресторан "МАК.БАЙ"

TADB na Mageuzi ya Ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa Itigi

TADB na Mageuzi ya Ufugaji wa Ng’ombe wa Maziwa Itigi

Что СДЕЛАЛ Иран этой ночью

Что СДЕЛАЛ Иран этой ночью

KUTOKA NDOTO HADI MAFANIKIO: JINSI TADB INAVYOBADILI TASWIRA YA KILIMO TANZANIA

KUTOKA NDOTO HADI MAFANIKIO: JINSI TADB INAVYOBADILI TASWIRA YA KILIMO TANZANIA

🔴 СРОЧНО ПОЖАР, КАК В ТЕГЕРАНЕ: ИРАН УДАРИЛ ПО ОМАНУ #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО ПОЖАР, КАК В ТЕГЕРАНЕ: ИРАН УДАРИЛ ПО ОМАНУ #новости #одиндень

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]