AJALI Mbaya ILIVYOTOKEA Leo SINGIDA, SHUHUDA Asimulia TUKIO Zima..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-03-27
Просмотров: 39642
Описание:
AJALI Mbaya ILIVYOTOKEA Leo SINGIDA, SHUHUDA Asimulia TUKIO Zima..
Leo March 27, 2020 Majira ya saa Tano asubuhi Kumetokea ajali ya Basi kugongana na Lori Mkoani Singida.
Ajali hiyo imehusisha Basi la kampuni ya MJ SAFARI lililokuwa likitoka Mwanza Kuelekea Dar na Lori la Kampuni ya Bakresa lililokuwa likitoka Dar kuelekea Mwanza.
Ajali hiyo imetokea kijiji cha Kizonzo Kata ya Shelui wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Hata hivyo tunaendelea kufuatilia ili kupata taarifa ya Majeruhi katika ajali hiyo hivyo usiache kufuatilia Global Tv kwa Update mbalimbali
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: