#BREAKING
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-04-22
Просмотров: 15967
Описание:
#BREAKING: AJALI MBAYA YAUA WATU 13 LINDI - GARI DOGO LAGONGANA USO KWA USOI NA LORI - 6 MAJERUHI
Habari zilizotufikia kwenye chumba chetu cha habari cha GLOBAL TV hii leo Aprili 22, 2024 zinaeleza kuwa, watu 13 wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali mbaya iliyohusisha magari mawili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi, John Imori amesema leo Jumatatu Aprili 22, 2024 kuwa, ajali hiyo iliyotokea saa mbili asubuhi katika Barabara Kuu ya Somanga-Nangurukuru baada ya gari ndogo ya abiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.
Majeruhi wote sita wamepelekwa katika Hosptali ya Tingi kwa ajili ya matibabu zaidi pamoja na miili 13 imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti cha Hosptali ya Tingi iliyopo wilayani Kilwa, mkoani Lindi.
Kwa taarifa zaidi kuhusu tukio hili endelea kufuatilia GLOBAL TV…
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: