AJALI SINGIDA: LORI LAGONGA BASI LA ABIRIA NA KULIANGUSHA, WATU 28 WAJERUHIWA, MASHUHUDA WASIMULIA..
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2024-07-11
Просмотров: 40564
Описание:
Watu 28 Wamejeruhiwa katika Ajali ya Basi Kampuni ya Zube Trans lililokuwa likitokea jijini Dar es Salam kuelekea Mwanza lenye Namba za usajili T 669 DEE Ambayo imetokea Mapema Leo katika Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: