Vimbwanga vya Ahmed Ally na Ally Kamwe wakihamasisha Taifa Stars
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-08-21
Просмотров: 821
Описание:
CHAN 2024: Wakutanapo Ahmed Ally na Ally Kamwe, ni vigumu kujizuia kucheka kutokana na ‘vituko’ vya wawili hao.
Leo wamekutana katika dimba la Benjamin Mkapa kwa ajili ya hamasa ya mechi ya kesho ya robo fainali ya CHAN 2024 kati ya Tanzania dhidi ya Morocco.
Ahmed anasema waweza kuhama klabu, lakini ni vigumu kuhama taifa lako.
Mechi ni saa 2:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#CHAN2024
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: