Pamba Jiji FC 2-2 Azam FC | Highlights | NBC Premier League 02/03/2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 8836
Описание:
Azam FC imetoka nyuma na kuchomoa magoli yote mawili iliyokuwa imetanguliwa na Pamba Jiji, mechi ikimalizika kwa sare ya 2-2 kwenye Dimba l CCM Kirumba.
Pamba wametangulia kwa magoli ya Himid Mao akijifunga dakika ya 45 na John Ben Nakibinge lakini Azam FC wakachomoa kupitia kwa Jean Jaques Ngita na penati ya Feisal Salum.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: