VIWANJANI: Takwimu za Yanga na Singida zina nafasi gani kwenye mchezo wa kesho?
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 3192
Описание:
Wachambuzi wa soka Michael Hyera na Andrew Kingamkono wakichambua viwango vya Singida Black Stars na Yanga SC kuelekea mchezo wao kesho utakaopigwa saa 10:00 Jioni katika dimba la Airtel Stadium, Singida.
(Imeandikwa na Katherini Shirima)
Mhariri|@rajjmsangi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: