ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MBUNGE MAFUWE AIBUA KERO YA UCHELEWESHAJI WA UHAMISHO KWA WALIMU NA WATUMISHI

Автор: TZA MEDIA HUB

Загружено: 2025-06-23

Просмотров: 311

Описание: Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, leo ameibua hoja nzito kuhusu ucheleweshaji wa uhamisho kwa walimu na watumishi wengine wa umma, akisema hali hiyo imekuwa kero kubwa kwa watumishi wanaokamilisha taratibu zote lakini wanacheleweshwa kuhamishwa kutoka vituo vya kazi.
Akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bungeni jijini Dodoma, Mafuwe alieleza kuwa kuna walimu na watumishi waliomaliza mchakato wa uhamisho kwa mujibu wa taratibu, lakini wanabaki kwenye vituo vyao kwa miezi au hata miaka wakisubiri majibu yasiyo na uhakika.
“Mtumishi anakuwa ameshamaliza kila kitu, lakini anabaki tu kwenye kituo akisubiri majibu. Hili ni jambo linaloumiza na linapaswa kushughulikiwa kwa haraka,” alisema Mafuwe.
Katika majibu yake, Serikali kupitia Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora, ilieleza kuwa mfumo wa sasa wa uhamisho kwa walimu na watumishi wengine wa umma kupitia Electronic Complaints and Compliments (ECC) umeshafanyiwa maboresho ili kuharakisha uamuzi wa uhamisho.
“Katika mfumo wa ECC, ikiwa mtumishi ameomba uhamisho na msimamizi wake (supervisor) hatatoa majibu ndani ya muda, ombi hilo sasa litapelekwa moja kwa moja kwenye ngazi ya juu kwa ajili ya uamuzi,” ilieleza Serikali.
Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa maombi ya uhamisho hayatokwama kwenye ngazi ya wakuu wa vituo au waajiri wa moja kwa moja, hali ambayo imekuwa ikichangia malalamiko ya kucheleweshwa kwa watumishi katika kupata majibu.
Wadau wa elimu na utumishi wamepongeza hatua hiyo ya serikali, wakisema itasaidia kupunguza msongamano wa maombi na kurudisha ari ya watumishi waliokuwa wakikata tamaa kutokana na kucheleweshwa kwa majibu ya uhamisho bila sababu za msingi.
Mwisho

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MBUNGE MAFUWE AIBUA KERO YA UCHELEWESHAJI WA UHAMISHO KWA WALIMU NA WATUMISHI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Uhamisho wa watumishi sasa kutolewa kila Robo Mwaka - Serikali

Uhamisho wa watumishi sasa kutolewa kila Robo Mwaka - Serikali

SIMBACHAWENE: WALIOTENGENEZA BARUA FEKI ZA UHAMISHO YUPO KIJANA WANGU

SIMBACHAWENE: WALIOTENGENEZA BARUA FEKI ZA UHAMISHO YUPO KIJANA WANGU

Walimu Wapinga Kuhamishwa Wanapokaribia Kustaafu || #Tamrini

Walimu Wapinga Kuhamishwa Wanapokaribia Kustaafu || #Tamrini

ПУТИН В БЕШЕНСТВЕ: Флот РФ ЗАХВАЧЕН ПРЯМО В МОРЕ! Балтика стала «МОГИЛОЙ» для нефти!

ПУТИН В БЕШЕНСТВЕ: Флот РФ ЗАХВАЧЕН ПРЯМО В МОРЕ! Балтика стала «МОГИЛОЙ» для нефти!

MAELEKEZO YA KATIBU MKUU-UTUMISHI KWA WASIMAMIZI WA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI

MAELEKEZO YA KATIBU MKUU-UTUMISHI KWA WASIMAMIZI WA UTAWALA NA RASILIMALIWATU SERIKALINI

Kilio cha Uhamisho kwa Wafanyakazi wa Serikali Chamfikia Simbachawene, Ataka Busara Itumike.

Kilio cha Uhamisho kwa Wafanyakazi wa Serikali Chamfikia Simbachawene, Ataka Busara Itumike.

Katibu Mkuu  TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe, rasmi akabidhiwa Ofisi na Eng. Joseph Nyamhanga

Katibu Mkuu TAMISEMI Prof. Riziki Shemdoe, rasmi akabidhiwa Ofisi na Eng. Joseph Nyamhanga

KATIBU MKUU UTUMISHI ATOA NENO KWA WANAOCHELEWA KUWAPOKEA WATUMISHI WAPYA

KATIBU MKUU UTUMISHI ATOA NENO KWA WANAOCHELEWA KUWAPOKEA WATUMISHI WAPYA

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

WATUMISHI TUMIENI NAMBA YA CALL CENTER UTUMISHI  KUEPUKA GHARAMA ZA KUFUATILIA MASUALA YA KIUTUMISHI

WATUMISHI TUMIENI NAMBA YA CALL CENTER UTUMISHI KUEPUKA GHARAMA ZA KUFUATILIA MASUALA YA KIUTUMISHI

KAMA WEWE NI MWALIMU NA UNATAKA UHAMISHO, UTARATIBU NI HUU, KATIBU WA CWT AZUNGUMZA..

KAMA WEWE NI MWALIMU NA UNATAKA UHAMISHO, UTARATIBU NI HUU, KATIBU WA CWT AZUNGUMZA..

MHE. NDEJEMBI AKEMEA TABIA YA WAAJIRI SERIKALINI KUFICHA BARUA ZA UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA

MHE. NDEJEMBI AKEMEA TABIA YA WAAJIRI SERIKALINI KUFICHA BARUA ZA UHAMISHO WA WATUMISHI WA UMMA

"SERIKALI HAIWEZI KUAJIRI WATU WOTE, NJIA ILIYOBAKI NI KUWAPAMBANISHA KWA MITIHANI" - SIMBACHAWENE

Watumishi waliohama Vituo vya kazi kabla ya miaka 3 kurejeshwa walikopangiwa

Watumishi waliohama Vituo vya kazi kabla ya miaka 3 kurejeshwa walikopangiwa

MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUJIEPUSHA NA UHAMISHO USIOZINGATIA TARATIBU

MHE. SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUJIEPUSHA NA UHAMISHO USIOZINGATIA TARATIBU

Serikali yawaonya wanaoghushi uhamisho

Serikali yawaonya wanaoghushi uhamisho

Watumishi walia malimbikizo fedha za likizo, uhamisho

Watumishi walia malimbikizo fedha za likizo, uhamisho

MRADI WA UMEME KILINDI WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 35, KUKAMILIKA  - MBUNGE MHANDO AHOJI BUNGENI

MRADI WA UMEME KILINDI WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 35, KUKAMILIKA - MBUNGE MHANDO AHOJI BUNGENI

Российско-украинская война - на карте

Российско-украинская война - на карте

MAELEKEZO YA NAMNA YA KUTUMIA HUDUMA YA UHAMISHO KWENYE DIRISHA LA WATUMISHI PORTAL

MAELEKEZO YA NAMNA YA KUTUMIA HUDUMA YA UHAMISHO KWENYE DIRISHA LA WATUMISHI PORTAL

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]