Watumishi waliohama Vituo vya kazi kabla ya miaka 3 kurejeshwa walikopangiwa
Автор: JamiiForums
Загружено: 2023-11-02
Просмотров: 1027
Описание:
Naibu Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, amesema Serikali itawarejesha Watumishi wa Idara ya Elimu na Afya ambao walihama bila utaratibu maalum kwenye vituo vya awali ikiwemo Vijijini,
Dugange amesema Serikali inatambua suala hilo na tayari imeshapata majina ya baadhi ya Watumishi waliohama kutoka Ludewa na imeshaanza kuwarejesha katika Halmashauri walizokuwa wamepangiwa
Katika Swali la msingi, Mbunge wa Mpanda Vijijini (CCM) Moshi Kakoso, alihoji utaratibu wa Watumishi wanaopangiwa maeneo ya Vijijini kuondoka ndani ya muda mfupi na hivyo kusababisha uhaba wa Watumishi katika maeneo hayo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: