ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Askari Wapya 231 wa Jeshi la Uhifadhi wapewa Ajira Wote

Автор: Site Tv Online

Загружено: 2023-04-26

Просмотров: 2269

Описание: Waziri wa Maliasili na Utalii MH.Mohamed Omary Mchengerwa Amefunga Mafunzo ya Jeshi la Uhifadhi kwa Askari wapya 231 katika Kambi ya Mlele Mkoani Katavi tarehe 26April2023, na Wote wamepatiwa barua ya Ajira moja kwa moja na kuripoti kwenye Vituo vyao vya Kazi.

Wakati akifunga Mafunzo hayo Waziri Mchengerwa amemshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuridhia Kuwaajiri wahitimu hao wote kwa pamoja.

Hivyo Waziri Mchengerwa amewataka wahitimu wote kwenda kulitumikia Taifa lao kwa Uwadilifu mkubwa, Uzalendo, kutanguliza Maslahi ya Nchi mbele, kuepuka Rushwa, kufuata Sheria ili kulinda Rasilimali za Taifa WanyamaPori na Misitu kwa manufaa ya Kizazi Cha leo na Kizazi Kijacho.

SiteNews.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Askari Wapya 231 wa Jeshi la Uhifadhi wapewa Ajira Wote

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Gwaride la Jeshi la Uhifadhi Tanzania, katika mafunzo ya kijeshi Mpanda, Operesheni funga kazi 2021

Gwaride la Jeshi la Uhifadhi Tanzania, katika mafunzo ya kijeshi Mpanda, Operesheni funga kazi 2021

Gwaride la Jeshi la Uhifadhi Tanzania.

Gwaride la Jeshi la Uhifadhi Tanzania.

AMKA NA BBC KISWAHILI LEO JUMATATU/16/3/2026/TRUMP AELEWEKI VITA BADO NGUMU...

AMKA NA BBC KISWAHILI LEO JUMATATU/16/3/2026/TRUMP AELEWEKI VITA BADO NGUMU...

RISASI LAINI ZAPIGWA JUU MAKABURINI KAMA HESHIMA  MAZISHI YA OCD AFANDE CHIKO

RISASI LAINI ZAPIGWA JUU MAKABURINI KAMA HESHIMA MAZISHI YA OCD AFANDE CHIKO

Что сказал Джума Локоле на свадьбе Тарика и Джиджи Мани

Что сказал Джума Локоле на свадьбе Тарика и Джиджи Мани

UZINDUZI WA JESHI USU, SERENGETI MKOANI MARA TANZANIA

UZINDUZI WA JESHI USU, SERENGETI MKOANI MARA TANZANIA

KIKUNDI CHA KARATE JWTZ MWANZO MWISHO

KIKUNDI CHA KARATE JWTZ MWANZO MWISHO

POLISI KUMBE WAMO! TAZAMA WAKIZICHAPA KIKOMANDOO MBELE ya RAIS SAMIA - USIPIME!

POLISI KUMBE WAMO! TAZAMA WAKIZICHAPA KIKOMANDOO MBELE ya RAIS SAMIA - USIPIME!

VIJANA ZAIDI YÀ MIAMOJA WAHITIMU MAFUNZO YA ULINZI WA WANYAMA PORI KTK CHUO CHA MALIASILI MWANZA.

VIJANA ZAIDI YÀ MIAMOJA WAHITIMU MAFUNZO YA ULINZI WA WANYAMA PORI KTK CHUO CHA MALIASILI MWANZA.

ASKARI WA WANYAMA PORI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KULINDA WANYAMA

ASKARI WA WANYAMA PORI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KULINDA WANYAMA

UTAPENDA, Kwata ya Miguu (Foot Drill) Walichokifanya Vijana wa JKT, Nidhamu Kwenda mbele

UTAPENDA, Kwata ya Miguu (Foot Drill) Walichokifanya Vijana wa JKT, Nidhamu Kwenda mbele

TAZAMA MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI ALIVYOWASILI RUVUMA.

TAZAMA MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI ALIVYOWASILI RUVUMA.

Jeshi La Uhifadhi Likionesha Uwezo  wake  Jinsi ya kupambana.

Jeshi La Uhifadhi Likionesha Uwezo wake Jinsi ya kupambana.

MAAFISA 14 TAWA WAPANDISHWA VYEO | KAMISHNA AFUNGUKA

MAAFISA 14 TAWA WAPANDISHWA VYEO | KAMISHNA AFUNGUKA

DAKIKA 7 ZA NGUVU WANAJESHI WAKIONYESHA JINSI WALIVYO 'FIT' KUPAMBANA

DAKIKA 7 ZA NGUVU WANAJESHI WAKIONYESHA JINSI WALIVYO 'FIT' KUPAMBANA "KAA MBALI"

GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA TANAPA NA NGORONGORO

GWARIDE LA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA TANAPA NA NGORONGORO

PUSHUP 36 ZA SAMEJA WA MAJESHI YA ULINZI MBELE YA MKUU WA NAJESHI

PUSHUP 36 ZA SAMEJA WA MAJESHI YA ULINZI MBELE YA MKUU WA NAJESHI

Tazama ukakamavu wa Askari wa uhamiaji waliomaliza mafunzo wakipewa vyeti na Rais Samia

Tazama ukakamavu wa Askari wa uhamiaji waliomaliza mafunzo wakipewa vyeti na Rais Samia

JESHI LA AKIBA LAIOMBA SERIKALI KUWATHAMINI KAMA MAJESHI MENGINE HAPA NCHINI.

JESHI LA AKIBA LAIOMBA SERIKALI KUWATHAMINI KAMA MAJESHI MENGINE HAPA NCHINI.

Pareso ataka Jeshi la Uhifadhi lifumuliwe

Pareso ataka Jeshi la Uhifadhi lifumuliwe "Mwananchi hawezi kukuelewa"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]