Pareso ataka Jeshi la Uhifadhi lifumuliwe "Mwananchi hawezi kukuelewa"
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-06-02
Просмотров: 313
Описание:
Mbunge wa Viti Maalum Cecelia Pareso amemshauri Waziri wa Maliasili na Utalii Mohamed Mchengerwa kuangalia kuliangalia ama kulifumua jeshi la uhifadhi ama kuangalia ilivyo bora ya kufanya shushuli zake.
Pareso ameyasema hayo leo Juni 2,2023 wakati akichangia katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka 2023/24.
Amesema jeshi hilo litakiwa kuangaliwa namna bora ya kufanya shughuli zake au askari hao wapewe maelekezo au mafunzo ama kuangalaia mafunzo yao ili iwe namna nzuri ya kutatua migogoro bila kumuumiza mwananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: