ASKARI WA WANYAMA PORI WATAKIWA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KULINDA WANYAMA
Автор: RUVUMA TV
Загружено: 2019-06-03
Просмотров: 1186
Описание:
MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Jacqueline Msongozi amewataka wahitimu wa mafunzo ya uhifadhi wa maliasili kwa jami kuwa mstari wa mbele katika kupambana na majangili pamoja na kulinda maliasili za Taifa licha ya changamoto wanazokutana nazo pindi wanapotekeleza majuku yao.
Wito huo ameutoa wakati wa kufunga mafunzo ya VGS katika Chuo cha mafunzo ya uhifadhi wa maliasili kwa jamii Likuyusekamaganga kilichopo Wilaya ya NAMTUMBO mkoani RUVUMA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: