MILIONI 236 ZATOLEWA KWA VIJANA NA WENYE ULEMAVU SINGIDA | MIKOPO YA 10% | DC GONDWE ASHUHUDIAA
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 46
Описание:
Jumla ya Vikundi 24 wakiwemo, Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu katika Manispaa Singida Mkoani Singida wamepatiwa Mkopo wa asilimia 10,wenye thamani ya shilingi Milioni 234 na Laki 3 ili waweze kujiendeleza kiuchumi.
Hafla hiyo ya Utoaji Mikopo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa manispaa ya Singida na kuhudumiwa na Viongozi Wa Wilaya pamoja na Manispaa wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe, Mstahiki meya wa Manispaa ya Singida Geoffrey Mdama pamoja na Mkurugenzi Manispaa hiyo JoanFeith Kataraia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: