WALIOHUSIKA NA UPOTEVU WA MILIONI 48 ZA MRADI WA SHULE KIKAANGONI MTWARA
Автор: Hello Media
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 65
Описание:
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Reuben Kwagilwa ametoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kuwachukulia hatua watu walio fanya ubadhilifu wa kuhujumu shilingi Milioni 48 katika shule ya Sekondari Makondeni iliyopo Wilaya Tandahimba Mkoani Mtwara.
Ameyasema hayo Leo alipokuwa amefanya ziara ya kikazi Mkoani humo kwa lengo la kukangua mirandi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miundombinu ya elimu pamoja na barabara.
Aidha ametoa maelekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa niamba ya waziri wa TAMISEMI kuhakikisha watu wote wanao husika kusimamia mradi huo wa elimu ambao haujakamilika kutokana na upungufu wa pesa Milioni 48 tofauti na maelekezo waliyo yatoa wizara kwaajili ya kukamilisha shule hiyo kwa shilingi Milioni 468.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: