POLISI SINGIDA WATANGAZA WAMEJIPANGA KUZUIA UHALIFU SIKUKUU | MADEREVA WALEVI KUKIONA
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2025-12-23
Просмотров: 46
Описание:
Jeshi la Polisi Mkoani limejipanga kuimarisha hali ya ulinzi na usalama kwa kulinda raia na mali zao ikiwa ni pamoja na kuwakagua madereva wanaotumia vilevi wakati wanaposafirisha abiria ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usalama barabarani.
Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Singida kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Amon Kakwale amefanya ukaguzi wa kushitukiza katika stendi kuu ya mabasi Misuna kwa lengo la kujionea hali ya usafirishaji katika kipindi hiki cha kuelekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: