Kumbukumbu ya Maalim Seif, Je, Zanzibar ina hali gani kisiasa miaka 5 baada ya kifo chake?
Автор: Zanzibar Kamili TV
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 316
Описание: Tarehe 17 February miaka mitano iliyopita, kiongozi maarufu na mwanasiasa mkongwe visiwani Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alifariki dunia. Katika video hii, mrithi wake kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na baada ya Uenyekiti wa chama chake cha ACT Wazalendo anaeleza waliyoyapitia ndani ya kipindi hicho. Mahojiano haya yamefanywa na Idhaa ya Kiswahili ya DW
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: