🔴
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-12-27
Просмотров: 7805
Описание:
🔴#LIVE: RAIS MWINYI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE kuhusu GHOROFA LILILOANGUKA na KUUA ZANZIBAR..
Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar ameazimia kuunda tume maalum kwaajili yakupata ufumbuzi wa Sababu zilizopelekea jengo la House of Wonders (Beit Al Ajaib) kuanguka, pamoja na kuepusha maafa mbalimbali katika eneo la mji mkongwe.
Dkt Mwinyi ameyasema hayo wakati alipokutana na wadau wa mji mkongwe huko visiwani Zanzibar.
Aidha Dkt Mwinyi amewaomba wadau mbalimbali kujitokeza Ili kuunga mkono juhudi za kuuhifadhi vizuri mji mkongwe wa Zanzibar
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: