ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HAKUNA KUONGEZEANA MUDA: WAZIRI AWESO AELEKEZA MRADI WA MAJI MPANDA UKAMILIKE KWA HARAKA.

Автор: KATAVI RS

Загружено: 2025-07-24

Просмотров: 476

Описание: Waziri wa Maji, Mhe. Juma Hamidu Aweso (Mb), ameagiza Mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 kuongeza kasi ya utekelezaji wa kazi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa.

Ameyasema hayo leo Julai 24, 2025 alipotembelea na kukagua Mradi wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya kufuatilia maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya maji nchini.

Ameeleza kuwa hakuna sababu ya kuongezewa muda kwa Mkandarasi kwa kuwa Serikali imeshatoa fedha zote za utekelezaji wa mradi, hivyo kazi inapaswa kufanyika kwa ufanisi mkubwa, mchana na usiku, hadi kukamilika kwake.

Ameongeza kuwa mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa katika ujenzi wa dakio, ikiwa ni sehemu muhimu ya miundombinu ya mradi huo, kwa lengo la kufanikisha dhamira ya Serikali ya kumtua mama ndoo kichwani na kuboresha maisha ya wananchi.

Katika hatua nyingine, Waziri Aweso ametumia ziara hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuidhinisha shilingi bilioni 22 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo mkoani Katavi, ikiwa ni sehemu ya fedha za maendeleo zinazolenga kuboresha huduma ya maji safi na salama kwa wananchi.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko, amesema kuwa Serikali tayari imetumia zaidi ya shilingi bilioni 65 katika kuboresha sekta ya maji mkoani humo, hatua iliyochangia kuongezeka kwa kiwango cha upatikanaji wa maji kwa wananchi.
Amefafanua kuwa kabla ya juhudi hizo, hali ya upatikanaji wa maji ilikuwa chini ya asilimia 60, lakini kwa sasa imefikia asilimia 68.5 mijini na asilimia 77.3 vijijini, ikiwa ni mafanikio ya juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HAKUNA KUONGEZEANA MUDA: WAZIRI AWESO AELEKEZA MRADI WA MAJI MPANDA UKAMILIKE KWA HARAKA.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

WAZIRI DKT. HOMERA ASISITIZA HUDUMA ZA KISHERIA NA UWAJIBIKAJI, VIONGOZI MKOA WA KATAVI WAPONGEZWA

Дожди повредили дороги, по которым проживают более 2000 жителей деревни Кикатити Арумеру.

Дожди повредили дороги, по которым проживают более 2000 жителей деревни Кикатити Арумеру.

RC MRINDOKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MATENGENEZO YA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6

RC MRINDOKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MATENGENEZO YA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 1.6

Шаирбек ТАШИЕВ суракта/ КАРАМУШКИНА ырайым сурады

Шаирбек ТАШИЕВ суракта/ КАРАМУШКИНА ырайым сурады

Chaos as Sifuna,Babu and Orengo Disrupt Oburu–Wanga ODM NDC plans,Calls for a Peoples NDC Nairobi 27

Chaos as Sifuna,Babu and Orengo Disrupt Oburu–Wanga ODM NDC plans,Calls for a Peoples NDC Nairobi 27

"Antek, świrze". Aż cały PiS zamilkł po słowach Sikorskiego

ЖАПАРОВ ЖЕСТКО КЫЛДЫ! ЭЧ КИМ КҮТПӨГӨН БОЛЧУ! ТАШИЕВ СУРАКТА

ЖАПАРОВ ЖЕСТКО КЫЛДЫ! ЭЧ КИМ КҮТПӨГӨН БОЛЧУ! ТАШИЕВ СУРАКТА

Ziemkiewicz: przełożony Tuska - Weber narzuca rządowi co ma robić, chce ich trzymać na smyczy!

Ziemkiewicz: przełożony Tuska - Weber narzuca rządowi co ma robić, chce ich trzymać na smyczy!

MAANDAMANO YA WANAWAKE CHADEMA YAZUIWA NA POLISI MARA

MAANDAMANO YA WANAWAKE CHADEMA YAZUIWA NA POLISI MARA

WARUNDI

WARUNDI "HALI NGUMU NDIO INATUFANYA TUTOKE BURUNDI", UHAMIAJI TANZANIA WATOA TAMKO KALI

RC MRINDOKO AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA UPANUZI WA CHUO.

RC MRINDOKO AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI BILIONI 1.7 KWA WANANCHI WALIOPISHA ENEO LA UPANUZI WA CHUO.

NYANSAHO FOUNDATION,MBUNGE  WATUMIA MIL 60 KUWEZESHA  WANAFUNZI 361 KUPATA MAHITAJI YA SHULE.

NYANSAHO FOUNDATION,MBUNGE WATUMIA MIL 60 KUWEZESHA WANAFUNZI 361 KUPATA MAHITAJI YA SHULE.

Él la llevó a su casa y lo que pasó después la dejó en shock

Él la llevó a su casa y lo que pasó después la dejó en shock

WARAIBU WAOMBA UWEZESHAJI, KUKOMESHA UNYANYAPAA

WARAIBU WAOMBA UWEZESHAJI, KUKOMESHA UNYANYAPAA

MBUNGE SERENGETI AGEUKA MBOGO KUTAFUTA HAKI ZA WAFANYAKAZI WA MRADI WA MAJI WA MANCHIRA

MBUNGE SERENGETI AGEUKA MBOGO KUTAFUTA HAKI ZA WAFANYAKAZI WA MRADI WA MAJI WA MANCHIRA

Крупнейший рынок сома в Афлао, Того/Гана, на границе с Западной Африкой. Приморский рынок по средам.

Крупнейший рынок сома в Афлао, Того/Гана, на границе с Западной Африкой. Приморский рынок по средам.

DEREVA HUYU WA BASI YAMKUTA MAZITO MBELE YA KAMANDA MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI.

DEREVA HUYU WA BASI YAMKUTA MAZITO MBELE YA KAMANDA MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI.

MAZUREK: SAFE, NAWROCKI, TUSK - ŻAŁOSNA AWANTURA

MAZUREK: SAFE, NAWROCKI, TUSK - ŻAŁOSNA AWANTURA

MCHINA ALIYEKUJA TANZANIA KUMTAFUTA BABA YAKE | AIR TANZANIA YA KWANZA YATUA CHINA | NYINGINE ZAJA

MCHINA ALIYEKUJA TANZANIA KUMTAFUTA BABA YAKE | AIR TANZANIA YA KWANZA YATUA CHINA | NYINGINE ZAJA

MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KUPUNGUZA ADHA YA MAJI MANISPAA YA MPANDA

MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KUPUNGUZA ADHA YA MAJI MANISPAA YA MPANDA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]