Kauli za Masharti kwa Kutumia ki- | Learn Swahili Conditional Sentences Easily
Автор: MASTERING SWAHILI AND EDUCATION SUCCESS WITH ROSE4
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 20
Описание:
Karibu kwenye somo la Kiswahili! 🌍📘
Katika video hii utajifunza Kauli za Masharti kwa kutumia ki- — yaani jinsi ya kusema “if” kwa Kiswahili kwa njia rahisi na ya vitendo.
Tutapitia muundo wa sentensi, mifano ya maisha ya kila siku, na mazoezi rahisi yatakayokusaidia kuelewa na kutumia ki- kwa ufasaha. Somo hili linafaa kwa wanaoanza Kiswahili na wale wanaotaka kuboresha sarufi yao.
By the end of this lesson, you will understand how to form Swahili conditional sentences using ki-/uki-/aki- and apply them in everyday conversations.
Usisahau 👍 kupenda, 💬 ku-comment, na 🔔 ku-subscribe kwa masomo zaidi ya Kiswahili.
👉 Tuambie kwenye comments: Ni sentensi gani ya ki- umeipenda zaidi?
#learnswahili #kiswahililearning #swahililanguage #swahiligrammar
#conditionalswahili #kaulizamasharti #languagelearning #swahililessons
#learnlanguages #educationcontent #africanlanguages #youtubeshorts
#shortsvideo #onlinelearning #swahiliforbeginners
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: