Neither…nor (Verb Form) | English for Beginners
Автор: Jifunze kiingereza na Teacher Othman
Загружено: 2026-02-01
Просмотров: 66
Описание:
Katika somo hili tutajifunza Neither…nor (Second Structure) ambayo hutumika pale ambapo tunakata matendo mawili (verbs/actions) katika sentensi moja ya Kiingereza.
🔹 Structure hii hutumika kuonyesha kuwa hakuna tendo kati ya mawili linalofanyika
🔹 Hutumika sana kwenye mazungumzo ya kila siku
🔹 Husaidia kuongea Kiingereza kwa usahihi na ufasaha
📌 Muundo wa jumla:
👉 Subject + neither + Verb + nor + Verb
📌 Mifano:
👉 He neither smokes nor drinks.
👉 She neither called nor sent a message.
Somo linafaa kwa Beginners hadi Intermediate wanaotaka kuboresha grammar na speaking skills.
#NeitherNor
#NeitherNorStructure2
#EnglishGrammar
#LearnEnglish
#BasicEnglish
#SpokenEnglish
#EnglishLesson
#EnglishSpeaking
#KiingerezaRahisi
#GrammarLesson
#DailyEnglish
#EnglishWithTeacher
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: